🚨 Watu 15 Wakamatwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Watu 5 Tunduru | RPC Chilya Afunguka
Автор: Toka zamani Tv
Загружено: 2025-10-04
Просмотров: 476
Описание:
Jeshi la Polisi Ruvuma limethibitisha kukamatwa kwa watu 15 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu watano wilayani Tunduru. RPC Marco Chilya ameeleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo cha tukio hilo.
👉SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: