BABA AELEZEA NAMNA MTOTO WAKE ALIVYOUWAWA KISHA KUPOLWA BAISKERI
Автор: RUVUMA TV
Загружено: 2019-04-01
Просмотров: 338
Описание:
WAKAZI wa wili wa kijiji cha Ligunga wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwanafunzi wa darasa la sita (6) katika Shule ya Msingi Muhuwesi iliyopo wilayani humo na kuchukua Baiskeri yake.
Mohamed Ndenje ni baba mzazi wa marehe , hapa anaelezea tukio lilivotokea
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: