MKUU WA UHAMIAJI: Tumejipanga kupokea wageni wa AFCON-U17 na kudhibiti wahamiaji haramu
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-03-29
Просмотров: 2618
Описание:
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini Tanzania Dkt. Anna Peter Makakala amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kuishangilia Serengeti Boys kwenye michuano ya AFCON kwa vijana U17 inayotarajiwa kuanza Aprili 14 mwaka huu.
Dkt. Makakala amesema idara yake imejipanga vilivyo kuwapokea wageni wote watakaoingia nchini kwaajili ya michuano hiyo huku akitoa onyo kwa watu watakaokiuka taratibu za kuingia nchini (Wahamiaji haramu)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: