WATOZA USHURU NA MAKAHABA WATAWATANGULIA..
Автор: wingu la mashahidi-Animation
Загружено: 2022-10-13
Просмотров: 2192
Описание:
Je! umetubu, baada ya kuisikia injili?..kama ukiikataa injili leo, basi wengine usiowategemea wataikubali...
Bwana Yesu alisema maneno yafuatayo...
Mathayo 21:31 "Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
32 Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini".
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: