ALOKUTWIKA MWANAHAWA ALLY,ZANZIBAR STARS
Автор: Mwambao muziki wetu
Загружено: 2016-07-10
Просмотров: 25507
Описание: Kuna usemi unasema Mchuma janga hula na nduguze ni dhaili kabisa kauli hii inashabihiana na jina la wimbo huu wa Alokutwika.Tambua kuwa wapo watu wana matatizo ya kujitakia na wengine ni mitahani tu mwenyezi Mungu.Tabia ya uongo,roho mbaya,shirki kwa waganga wa kienyeji,kutembea na waume za watu nk yote haya ni baadhi ya matatizo walionayo walimwengu,lakini yanapo mkuta mtu udiliki kutafuta mtu wakuweza kutatua shida zake.Je hapo awali alipokuwa anajiweza alilifikilia hili,tusiwe watu wamajivuno kwa sababu hatujui kesho yake itakuwaje.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: