PAKACHA MWANAIDI SHABANI/EAST AFRICA MELODY
Автор: Mwambao muziki wetu
Загружено: 2016-07-29
Просмотров: 50636
Описание: Pakacha ni wimbo unaozumzia mwanamke asie jieshimu,mwanamke huyu ni pakacha bovu ambalo kila bidhaa ubebea lakini si salama au kwa lugha nyingine ni mwanamke Malaya.Fahamu kuwa wimbo ndio wimbo ambao ulinzisha midundo ya yenye maahadhi ya sebene au Ngoma chini na wengine wakafuta kwa kuona inapendwa sana na watu.Hali ilivyo kwa sasa mapakacha ni mengi sana hali inayopekea milipuko ya maladhi kila kukicha.Hongera Mwanaidi Shabani kwa kazi nzuri na yenye kuelimisha jaami kwa ujumla.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: