RC Shinyanga Aagiza Kujengwa kwa Matuta na Taa Barabarani Eneo la Isela Kufuatia Ajali ya Kifo
Автор: RS Shinyanga
Загружено: 2025-09-27
Просмотров: 454
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita Septemba 26, 2025, ametembelea Kijiji cha Isela, Manispaa ya Shinyanga kutoa pole kufuatia ajali ya gari kugonga pikipiki na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Katika hatua ya kulinda maisha ya wananchi, Mhe. Mhita ameagiza TANROADS kujenga matuta na kuweka taa za barabarani ili kudhibiti mwendo na kuongeza usalama.
Mwakilishi wa TANROADS ameahidi kutekeleza agizo hilo mara moja, huku wananchi wakipongeza hatua hiyo na kuipongeza Serikali kwa kusikia kilio chao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: