MGODI MPYA WA MADINI YA DHAHABU KUFUNGULIWA HANDENI.
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2019-06-17
Просмотров: 3622
Описание: Kampuni ya Kusini Getway Industrial Park Ltd imetangaza kuanza shughuli za uchimbaji madini aina ya Dhahabu katika kijiji cha Kwedikabu kata ya Kwamsisi wilayani Handeni mwisho wa mwezi huu na kuahidi kutoa ajira kwa wakazi wa eneo hio.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: