SIKU KUMI ZA MAOMBI | MCH: ELIAS SIBORA
Автор: TUMAINI MOJA
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 25
Описание:
Karibu kwenye Siku Kumi za Maombi – Day 09 🙏
Katika siku ya tatu ya maombi, tunaalikwa SIMAMA NA UJASIRI KWAAJILI YA KRISTO NA UMTAFUTE KWA UTIMILIFU. Kupitia neno la Mungu na maombi, tunajifunza maana ya wokovu, toba ya kweli, na kuanza safari mpya ya maisha ndani ya Kristo.
📖 MCH: ELIAS SIBORA
🔥 Lengo: Kuimarisha imani, kumkaribia Mungu, na kuishi maisha ya wokovu.
Jiunge nasi katika safari hii ya siku kumi za maombi na uamsho wa kiroho. Usisahau kushare, kupenda, na kuandika maombi yako kwenye comment.
#tumainimoja #wilsonzayoga
#SikuKumiZaMaombi
#MjueYesu
#YesuNiMwokozi
#Wokovu
#Maombi
#UamshoWaKiroho
#Imani
#NenoLaMungu
#WilsonZayoga
#yesukristo
#barakabutoke
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: