USIKU WA MAOMBI | SEHEMU YA PILI | SDA CHURCH MAGOMENI
Автор: TUMAINI MOJA
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 39
Описание:
Karibu kwenye Siku Kumi za Maombi – Day 08 🙏
Katika siku ya tatu ya maombi, tunaalikwa WAFUNDISHE WATOTO NA VIZAZI VYOTE KUSEMA KWAAJILI YA KRISTO. Kupitia neno la Mungu na maombi, tunajifunza maana ya wokovu, toba ya kweli, na kuanza safari mpya ya maisha ndani ya Kristo.
📖 EV.ADAM NYANDO.
🔥 Lengo: Kuimarisha imani, kumkaribia Mungu, na kuishi maisha ya wokovu.
Jiunge nasi katika safari hii ya siku kumi za maombi na uamsho wa kiroho. Usisahau kushare, kupenda, na kuandika maombi yako kwenye comment.
#sdachurchmagomeni
#mwenge
#sdachurchmwenge
#tumainimoja #wilsonzayoga
#SikuKumiZaMaombi
#MjueYesu
#YesuNiMwokozi
#Wokovu
#Maombi
#UamshoWaKiroho
#Imani
#NenoLaMungu
#WilsonZayoga
#yesukristo
#barakabutoke
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: