DKT. JUMA HOMERA AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU YA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE DODOMA 2026
Автор: MAHAKAMA YA TANZANIA
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 65
Описание: Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb) akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa kongamano maalumu la kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Majaji na Mahakimu Wanawake leo tarehe 10 Machi, 2026 kwenye ukumbi wa New Generation hall uliopo Kisasa jijini Dodoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: