ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MHITIMU WA DARASA LA SABA ALIVYOGEUZA UWANJA WAKE KUWA KITUO CHA MALEZI YA WATOTO

Автор: Makutano TV

Загружено: 2025-07-23

Просмотров: 246

Описание: IRINGA (Ipogolo C)Kwa mujibu wa takwimu za Serikali, hadi kufikia mwaka huu, 2025, ni vituo 206 pekee vya kulele watoto mchana, vitakuwa vimeanzishwa nchi nzima kwa watoto wa umri wa Miaka 2 hadi 5.
Pia Takwimu za sensa ya mwaka 2022 zinaonyesha zaidi ya watoto milioni 9 wana umri wa Miaka 0 hadi 5 hapa Nchini Tanzania.
Watoto hawa wote, Kila mmoja anastahili mwanzo bora. swali ni Je? hapo ulipo watoto wana mwanzo bora?

Vituo vya kulelea watoto mchana ni nyenzo muhimu ya mtoto kuwa na mwanzo bora wa maisha yake, Hapa ni Kata ya Ruaha Manispaa ya Iringa mtaa wa Ipogolo C.

Mtaa wa Ipogolo C ni miongoni mwa mitaa 13 iliyopo katika kata hii, yenye jumla ya Kaya zaidi ya elfu 3 na 500, katikati ya makazi ya watu ndipo tunakutana na Ndugu Matuli Kavela.
Elimu yake ni darasa la saba, kutokana uchumi duni hakuweza kuendelea na elimu ya sekondari, ana Miaka 50, baba mwenye watoto 5 na wajukuu wanne, hapa ni nyumbani kwake ambapo sasa anatoa huduma ya malezi jamii mchana.
Kutoka watoto 3 hadi kufikia watoto 70 kwa Miaka hii mitatu, sio jambo rahisi, Matuli anasema Imani ya wazazi kwake ndio msukumo wake kutoa huduma hiyo ya malezi ya watoto mchana
Licha ya ulemavu wake, Changamoto ya mazingira duni, uhaba wa vifaa vya kufundishia na kutokuwa na ujuzi wa malezi sio kikwazo kwake kuhudumia watoto hawa, anasema kikwazo ni agizo alilolipata la kumtaka asitishe huduma hiyo jambo ambalo limemvunja moyo.

Ushiriki wa wazazi, jamii, Serikali, na wadau ni msingi wa kuhakikisha watoto hawa wanapata mazingira salama yenye upendo na yenye kuhamasisha ukuaji mzuri wa akili, mwili na hisia ili kuweka msingi thabiti wa maisha yao Wananchi na wazazi wao wanasemaje?

UNGANA NASI KATIKA MAKALA INAYOFUATA UWEZE KUSIKIA KAULI YA SERIKALI NA WADAU HASA WAKATI HUU AMBAPO SERIKALI INATEKELEZA KAMPENI YA MALEZI, NA PROGRAMU JUMUISHI YA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MHITIMU WA DARASA LA SABA ALIVYOGEUZA UWANJA WAKE KUWA KITUO CHA MALEZI YA WATOTO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Réponse humanitaire à Lubero: Cash; intrants agricoles et ouverture de route RDC

Réponse humanitaire à Lubero: Cash; intrants agricoles et ouverture de route RDC

UJI WA MTOTO WENYE MAKUNDI 6 YA VIRUTUBISHI

UJI WA MTOTO WENYE MAKUNDI 6 YA VIRUTUBISHI

KIPERA SHULE YA MSINGI  KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

KIPERA SHULE YA MSINGI KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

KAYA 15 ZAKOSA MAKAZI KITEGA – SONGAMBELE BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO

KAYA 15 ZAKOSA MAKAZI KITEGA – SONGAMBELE BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO

WANANCHI IPOGOLO “C” WAOMBA MABORESHO KITUO CHA KIJAMII CHA MALEZI MCHANA

WANANCHI IPOGOLO “C” WAOMBA MABORESHO KITUO CHA KIJAMII CHA MALEZI MCHANA

MBONA STEVE UMEVAA DERA UNAUZA

MBONA STEVE UMEVAA DERA UNAUZA

KUUUNGUA KWA SOKO NA ATHARI KWA WATOTO WA KIUME  MTAANI

KUUUNGUA KWA SOKO NA ATHARI KWA WATOTO WA KIUME MTAANI

MRISHO MPOTO

MRISHO MPOTO "Mke wangu Aliniambia Nimuogeshe kabla ya kufariki"/"Alidondoka CHOONI"

MREMBO WITNESS AYO JASIRI ANAYEENDESHA BASI ZA USIKU, AONGEA MIUJIZA ALIYOKUTANA NAYO USIKU

MREMBO WITNESS AYO JASIRI ANAYEENDESHA BASI ZA USIKU, AONGEA MIUJIZA ALIYOKUTANA NAYO USIKU

MTORI WA NDIZI MBICHI KWA MTOTO

MTORI WA NDIZI MBICHI KWA MTOTO

Дочь в награду. Счастье легендарных фигуристов. Пусть говорят. Выпуск от 09.02.2026

Дочь в награду. Счастье легендарных фигуристов. Пусть говорят. Выпуск от 09.02.2026

MTOTO YATIMA { 22 }

MTOTO YATIMA { 22 }

KAMATI YA BUNGE YA AFYA YAFANYA MATENDO YA HURUMA DODOMA-RRH

KAMATI YA BUNGE YA AFYA YAFANYA MATENDO YA HURUMA DODOMA-RRH

WANANCHI NA MCHAKATO SHIRIKISHI WA KITUO CHA MALEZI MCHANA

WANANCHI NA MCHAKATO SHIRIKISHI WA KITUO CHA MALEZI MCHANA

WANAUME 200+ NA VIKUNDI 20+ KUFIKIWA NA ELIMU YA LISHE   IRINGA -MC

WANAUME 200+ NA VIKUNDI 20+ KUFIKIWA NA ELIMU YA LISHE IRINGA -MC

BINTI YANGU Full episode [ 107 ] #love

BINTI YANGU Full episode [ 107 ] #love

LIMBWATA LA MALEZI KWA WABABA / WIKI YA UNYONYESHAJI

LIMBWATA LA MALEZI KWA WABABA / WIKI YA UNYONYESHAJI

То, что СКРЫВАЛИ Армянские Столицы Переписывает Нашу историю!

То, что СКРЫВАЛИ Армянские Столицы Переписывает Нашу историю!

MCHUNGAJI  MWANZO ALIKATAA 'NO REFORM' -ABADILI GIA BAADA ya HECHE KUONGEA MSIBANI wa KATIBU CHADEMA

MCHUNGAJI MWANZO ALIKATAA 'NO REFORM' -ABADILI GIA BAADA ya HECHE KUONGEA MSIBANI wa KATIBU CHADEMA

NYUMA YA MKASA WA MTOTO ALIYEUAWA NA WANANCHI

NYUMA YA MKASA WA MTOTO ALIYEUAWA NA WANANCHI

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]