Lesson 14: AINA ZA SHAMIRISHO (kipozi, kitondo na ala)
Автор: Kiswahili na Mwalimu Ogello
Загружено: 2022-03-08
Просмотров: 7807
Описание: Kipindi hiki kitapasha na kukuza uelewa wa mwanafunzi yeyote aliye na ashiki ya kutaka kuchambua aina zote za shamirisho katika sentensi. Kimepeperushwa kwa sauti nyororo iliyofungamanishwa na viziada lugha kochokocho ili kurahisisha mawasiliano. Katika kipindi hiki, mkufunzi ataweza kuelewa aina zote za shamirisho - kipozi (yambwa tendwa), kitondo (yambwa tendewa) na ala (yambwa kitumizi). Pia mwanafunzi ataelewa sifa na majukumu mbalimbali za yambwa katika sentensi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: