KING JAMES PHARMACY YAANDIKA HISTORIA MPYA YA UZALENDO HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA.
Автор: Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 15
Описание:
Yaonyesha uwezo wa Wadau wa ndani kuboresha huduma za afya. Yatoa msaada wa vifaa tiba vya Milioni 103 kwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuboresha sekta ya afya na kuhakikisha wananchi wanapata matibabu ya kisasa na kwa wakati.
Vifaa hivi vitakwenda kuleta mabadiliko makubwa katika utoaji wa huduma kwenye Idara ya Physiotherapy, Wodi ya Watoto, na Kitengo cha ICU.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: