SIRI YA PAA IMARA; MBAO, MUINUKO NA NA MFUMO WA GUTEER
Автор: MJENZI WA NYUMBA TZ
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 71
Описание:
MAALUMU: SULUHISHO LA PAA LINAVO VUJA NA MUONEKANO MBAYA
Je, unajua kuwa kosa dogo wakati wa upauaji linaweza kusababisha hasara ya mamilioni baadaye? Katika video hii, Mjenzi wa Nyumba TZ anakuletea mwongozo wa kitaalamu wa mambo 4 ya msingi unayopaswa kuzingatia wakati wa kuweka mabati kwenye nyumba yako.
Mambo Utakayojifunza:
✅ Mbao Bora: Kwanini mbao kavu na zilizonyooka ndio msingi wa paa nzuri.
✅ Muinuko wa Paa: Jinsi ya kupiga "pitch" sahihi ili kuzuia kutu na maji kutuama juu ya bati.
✅ Screw & Misumari: Uchaguzi wa vifaa imara vitakavyozuia mabati kung'oka na upepo.
✅ Mfumo wa Gutter: Jinsi ya kuelekeza maji ya mvua kwa usahihi ili kulinda msingi na kuta zako.
Usikubali fundi abahatishe kwenye nyumba yako, elimu hii itakusaidia kusimamia mradi wako kwa ujasiri!
🏗️ HUDUMA ZETU (TANZANIA NZIMA)
Sisi ni wataalamu wa ujenzi wa nyumba kuanzia hatua ya kwanza hadi mwisho. Huduma zetu ni:
Ujenzi wa nyumba (Bungalow & Ghorofa).
Upauaji wa kisasa na imara.
Ufungaji wa Gypsum Board na urembo wa ndani.
Kazi za Rangi, Plasta, na uwekaji wa Tiles (Marumaru).
Ukarabati na uboreshaji wa nyumba za zamani.
📞 WASILIANA NASI SASA:
Simu/SMS: 0712 937 090
WhatsApp: 0765 937 090
Website: www.mjenziwanyumbatz.com
"Nyumba bora hujengwa na fundi bora."
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: