Siri za Paa la Kuficha (Hidden Roof): Usidanganywe na Gharama!
Автор: MJENZI WA NYUMBA TZ
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 72
Описание:
Je, unavutiwa na muonekano wa kisasa wa nyumba yenye Paa la Kuficha (Hidden Roof)? Watu wengi huamini kuwa nyumba hizi ni rahisi na za gharama nafuu kwa sababu zinatumia bati chache, lakini ukweli ni tofauti kabisa.
Katika video hii, Mjenzi wa Nyumba Tz anakufunulia mambo yote muhimu usiyoyajua kuhusu ujenzi, gharama, na matengenezo ya paa la kuficha ili usifanye makosa yatakayokugharimu baadae.
Utajifunza mambo yafuatayo:
Kwanini ni ghali zaidi: Matumizi makubwa ya saruji, nondo, mchanga, na tofali za block kuficha paa.
Gharama za kuishi: Mahitaji ya AC/Feni kutokana na joto, na umuhimu wa madirisha makubwa.
Siri za ufundi: Miteremko ya gutter (slope), matumizi ya bati ndefu, na umuhimu wa waterproofing (Sika) kuzuia kuvuja.
Vipimo sahihi: Upana na kimo cha gutter ili maji yasituame.
Ushauri wa Kitaalamu: Kwanini paa hili linafaa zaidi kwa watu wenye uchumi wa kati na mkubwa.
Hatua 8 Muhimu za Kuzingatia:
Umbali wa paa hadi gutter (7.5m).
Mabomba ya kushusha maji.
Mteremko wa gutter.
Cap juu ya ukuta (Inch 4).
Bati ndefu (kupima).
Silicon kwenye misumari.
Ukubwa wa gutter (60cm x 30cm).
Matumizi ya Waterproofing.
🏠 WASILIANA NASI KWA HUDUMA ZA UJENZI:
Sisi tunachora ramani za kisasa, tunajenga, tunapaua, na kufanya finishing bora.
📞 Simu: +255 712 937 090
💬 WhatsApp: https://wa.me/255765937090
📧 Email: [email protected]
🌐 Website: https://mjenziwanyumbatz.com
"Nyumba bora hujengwa na fundi bora." 🔨
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: