ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

SHULE YA MTWARA GIRLS YASHIKA NAMBA 47 KATI YA SHULE 900 TANZANIA| MKURUGENZI NYANGE AWAPONGEZA.

Автор: Faida Online TV

Загружено: 2025-07-09

Просмотров: 1344

Описание: Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara Mwalimu Hassan Nyange, amewapongeza Wanafunzi pamoja na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtwara (Mtwara Girls high School) iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa kushika nafasi ya 47 Kitaifa katika matokeo ya Kidato cha Sita Mwaka 2025.

"Tumejitofautisha na Shule kongwe za Wasichana, tumepitwa na Msalato tu, yani hakuna cha Iringa Girls, Hakuna Cha Kilakala, Hakuna cha Songea Girls, hakuna cha Tabora Girls, hakuna cha Weruweru, Sio jambo dogo, hivyo Mimi niwaombe tuendelee ku-think big" amesema Mwalimu Nyange.

Mkurugenzi huyo ameiomba Serikali kuwaangalia Walimu kama wa Mtwara Girls high School, Kwa kuwa wamekuwa wakipokea Wanafunzi ambao wanaufaulu wa kuanzia A mpaka D na kupambana nao hadi kufika ufaulu wa One ya point 4 na 5, wakati huo Kuna Shule ambazo zinapokea Wanafunzi wenye ufaulu wa ABB hivyo inakuwa rahisi kuwatengeneza na kufanya vizuri.

Kwa upande wake Afisa Elimu wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Mwl. Mangula Mayemba, amesema kama Halmashauri wamefanya mageuzi makubwa katika njia za ufundishaji, na ndio maana katika Shule hiyo wamepata GPA ya 1.8 huku akiahidi kuwa Mwaka ujao wanampango wa kufanya vizuri zaidi ili wafikie GPA ya 1.6.

Mwalimu Sikujua Anangisye ni Mkuu wa Shule hiyo ya Sekondari ya Wasichana ya Mtwara, amesema katika Matokeo hayo, waliofaulu Daraja la kwanza ( Division One ) wapo 382, Daraja la Pili (Division two) ni 50 na Daraja la Tatu (Division three) wapo 8, kwahiyo hakuna Daraja la Nne (Division Four) Wala Daraja Sifuri na kufanya Shule hiyo iwe ya kwanza Kimkoa na kikanda.

Wakizungumza na Faida Online TV, baadhi ya Wanafunzi wa Shule hiyo wameahidi kufanya vizuri zaidi katika mitihani iliyopo mbele yao, Kwa kuwa wamekuwa na Walimu wanaofundisha kwa jitihada zao zote, pamoja na uwepo wa Mkurugenzi ambae anawatia moyo na kuwapambania kila iitwayo Leo katika safari yao ya masomo.

SUBSCRIBE CHANEL YA FAIDA ONLINE TV YOUTUBE ILI KUPATA HABARI ZETU.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SHULE YA MTWARA GIRLS YASHIKA NAMBA 47 KATI YA SHULE 900 TANZANIA| MKURUGENZI NYANGE AWAPONGEZA.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

DKT BILL KIWIA AKAMILISHA ZIARA MTWARA, AFIKA MTWARA GIRLS

DKT BILL KIWIA AKAMILISHA ZIARA MTWARA, AFIKA MTWARA GIRLS

BANDARI YA MTWARA YENYE GATI YA UKUBWA MITA 300, MELI KUBWA ZATIA NANGA

BANDARI YA MTWARA YENYE GATI YA UKUBWA MITA 300, MELI KUBWA ZATIA NANGA

KUTANA NA GENIUS WA HESABU ALIYEONGOZA AFRIKA MASHARIKI, APELEKWA MASHINDANO YA DUNIA.

KUTANA NA GENIUS WA HESABU ALIYEONGOZA AFRIKA MASHARIKI, APELEKWA MASHINDANO YA DUNIA.

SEMAJI AHMED ALLY AKIELEZA HALI YA KIKOSI BAADA YA KUWASILI DODOMA NA KUFANYA MAZOEZI YA KWANZA

SEMAJI AHMED ALLY AKIELEZA HALI YA KIKOSI BAADA YA KUWASILI DODOMA NA KUFANYA MAZOEZI YA KWANZA

DUNIA SEASON 02 (Ep 01)

DUNIA SEASON 02 (Ep 01)

4 Дешёвых Фрукта, Которые Продлевают Жизнь После 60 (Врачи О Них Молчат)

4 Дешёвых Фрукта, Которые Продлевают Жизнь После 60 (Врачи О Них Молчат)

Sheikh Hamza Mansoor - Kukabiliana na Mitihani ya Dunia

Sheikh Hamza Mansoor - Kukabiliana na Mitihani ya Dunia

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

MSIMBAZI SECONDARY SCHOOL - UWEZO AWARD 2019

MSIMBAZI SECONDARY SCHOOL - UWEZO AWARD 2019

WANAFUNZI WA MSIMBAZI WAKICHAPWA MASWALI NA KAKA MKUU NDANI YA SKONGA

WANAFUNZI WA MSIMBAZI WAKICHAPWA MASWALI NA KAKA MKUU NDANI YA SKONGA

"sketi zenu zimenikela "Mgeni Rasmi, mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Mwl.J.K.Nyerere

MAHAFALI YA SEKONDARI YA MUSTAFA SABODO MTWARA YAFANA| MUDY RAY AAHIDI TOFALI 1000 UJENZI WA UZIO

MAHAFALI YA SEKONDARI YA MUSTAFA SABODO MTWARA YAFANA| MUDY RAY AAHIDI TOFALI 1000 UJENZI WA UZIO

Driving in Mtwara Tanzania from Shangani to Mikindani

Driving in Mtwara Tanzania from Shangani to Mikindani

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

SEKONDARI YA RAHALEO MTWARA KINARA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025  KWA SHULE ZA KATA MIKOA YA KUSINI

SEKONDARI YA RAHALEO MTWARA KINARA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 KWA SHULE ZA KATA MIKOA YA KUSINI

KOWAK GIRLS' YASHUSHA NEEMA KWA ATAYEFANYA VIZURI KITAALUMA

KOWAK GIRLS' YASHUSHA NEEMA KWA ATAYEFANYA VIZURI KITAALUMA

PART 1: JINSI MWALIMU WA HISABATI ALIVYOTENGENEZA  'A' 100 SEKONDARI KIMARA

PART 1: JINSI MWALIMU WA HISABATI ALIVYOTENGENEZA 'A' 100 SEKONDARI KIMARA

VIJANA WA MTWARA WANAOISHI ZANZIBAR WAELEZEA HALI ZAO ZA MAISHA WALIPOTEMBELEWA NA FAIDA ONLINE TV

VIJANA WA MTWARA WANAOISHI ZANZIBAR WAELEZEA HALI ZAO ZA MAISHA WALIPOTEMBELEWA NA FAIDA ONLINE TV

HISTORIA YA WAMAKONDE NA CHIMBUKO LAO| WALIPIGWA VITANI NA WACHIMBULI | NINI SABABU YA KUVAA NDONYA

HISTORIA YA WAMAKONDE NA CHIMBUKO LAO| WALIPIGWA VITANI NA WACHIMBULI | NINI SABABU YA KUVAA NDONYA

TUKIO ZIMA: Wanafunzi Walivyochomana Visu Kichwani DAR!

TUKIO ZIMA: Wanafunzi Walivyochomana Visu Kichwani DAR!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]