Kovu za stahamala - Mlima Elgon sehemu ya kwanza
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2012-04-25
Просмотров: 14718
Описание:
www.ktnkenya.tv
Tumenyanyaswa, tumedhalilishwa na kupokonywa mashamba yetu. Ndio semi za akina mama kutoka Mlima Elgon. Wakiwa wameachwa wajane baada ya waume wao kuuliwa na kundi la vijana la Sabaot Land Defence force,kovu zingali zinatona. na kama anavyotuelezea mwanahabari Saida Swaleh,wakaazi wa eneo la Mlima Elgon bado wana fikra tele kwenye sehemu ya kwanza ya Kovu za stahamala - Mlima Elgon.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: