ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA) 18/01/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-01-17

Просмотров: 7086

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA) 18/01/2026

UJUMBE WA LEO: NYUMBA ZETU HUBARIKIWA NA BWANA, KUWAFADHILI NA KUWABARIKI WAGENI

Waebrania 13 : 1 - 4
2 Wafalme 4 : 8 - 28

Waebrania 13 : 1 - 4

1 Upendano wa ndugu na udumu.

2 Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.

3 Wakumbukeni hao waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; na hao wanaodhulumiwa, kwa vile ninyi nanyi mlivyo katika mwili.

4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

2 Wafalme 4 : 8 - 28

8 Hata ikawa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; naye akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula.

9 Yule mwanamke akamwambia mumewe, Tazama, mimi naona ya kuwa mtu huyu apitaye kwetu mara kwa mara ni mtu mtakatifu wa Mungu.

10 Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.

11 Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala.

12 Akamwambia Gehazi mtumishi wake, Mwite yule Mshunami. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mbele yake.

13 Akamwambia, Sema naye sasa, Tazama, wewe umetutunza sana namna hii; utendewe nini basi? Je! Uombewe neno kwa mfalme, au kwa amiri wa jeshi? Yule mwanamke akamjibu, Mimi ninakaa katika watu wangu mwenyewe.

14 Akasema, Basi, atendewe nini? Gehazi akajibu, Hakika hana mwana, na mumewe ni mzee.

15 Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni.

16 Akasema, Panapo wakati huu mwakani, utamkumbatia mwana. Akasema, La! Bwana wangu, wewe mtu wa Mungu, usiniambie mimi mjakazi wako uongo.

17 Yule mwanamke akachukua mimba, akazaa mtoto mume wakati uo huo mwakani, kama Elisha alivyomwambia.

18 Hata yule mtoto alipokua, ikawa siku moja alitoka kwenda kwa baba yake kwenye wavunao.

19 Akamwambia baba yake, Kichwa changu! Kichwa changu! Naye akamwambia mtumishi wake, Mchukue kwa mama yake.

20 Akamchukua, akampeleka kwa mama yake, naye akakaa magotini mwake hata adhuhuri, kisha akafa.

21 Mamaye akapanda juu, akamlaza juu ya kitanda cha yule mtu wa Mungu, akamfungia mlango, akatoka.

22 Kisha akamwita mumewe, akasema, Tafadhali, uniletee mtu mmoja wa watumishi, na punda mmoja, ili nimwendee yule mtu wa Mungu kwa haraka, nikarudi tena.

23 Akasema, Kwa nini kumwendea leo? Sio mwandamo wa mwezi, wala sabato. Akasema, Si neno.

24 Akatandika punda, akamwambia mtumishi wake, Mwendeshe, twendelee mbele. Usinipunguzie mwendo, nisipokuambia.

25 Basi akaenda, akafika kwa yule mtu wa Mungu, katika mlima wa Karmeli. Ikawa, yule mtu wa Mungu alipomwona kwa mbali, akamwambia Gehazi mtumishi wake, Tazama, Mshunami yule kule.

26 Tafadhali piga mbio sasa kwenda kumlaki, ukamwambie, Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo? Akajibu, Hawajambo.

27 Naye alipofika kwa yule mtu wa Mungu kilimani, alimshika miguu. Gehazi akakaribia amwondoe; lakini mtu wa Mungu akamwambia, Mwache; maana roho yake ndani yake ina uchungu; na Bwana amenificha, wala hakuniambia.

28 Yule mwanamke akasema, Je! Naliomba mwana kwa bwana wangu? Mimi sikusema, Usinidanganye?

Mhubiri: Mch. Anna Kuyonga.

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA) 18/01/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

NDANI YA UWEPO WAKE  MIX 2 - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

NDANI YA UWEPO WAKE MIX 2 - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

Fundi ujenzi alimsaidia Msichana Kulala Usiku Mmoja Kisa Manyanyaso ya Mama wa Kambo ku... #folklore

Fundi ujenzi alimsaidia Msichana Kulala Usiku Mmoja Kisa Manyanyaso ya Mama wa Kambo ku... #folklore

"KAMA UNATAKA KUONGEZEKA KWENYE MAISHA YAKO NI LAZIMA UJIFUNZE HII KANUNI LEO!" ~ Dr. Eliona Kimaro

Pr. MWASOMOLA NA UJUMBE WA MWISHO

Pr. MWASOMOLA NA UJUMBE WA MWISHO

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM  l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :  IBADA YA JUMAPILI - KUSIFU NA KUABUDU 01/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI - KUSIFU NA KUABUDU 01/03/2026

KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | ASIFIWE | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01

KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | ASIFIWE | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01

NGUVU YA SADAKA KATIKA KUILINDA KESHO YAKO KIUCHUMI  // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE.

NGUVU YA SADAKA KATIKA KUILINDA KESHO YAKO KIUCHUMI // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE.

Paul Clement - Safari ( Official live video )

Paul Clement - Safari ( Official live video )

NA ŻYWO:

NA ŻYWO: "Fałszywa flaga" w ataku na Arabię Saudyjską?

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha

DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

Angel Benard   - NIMEONA ( Official live Video )

Angel Benard - NIMEONA ( Official live Video )

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM  l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

Tumia Vyakula Hivi Ili Kuongeza Uwezo Wako Wa Akili Na Kufikiri - Pr David Mmbaga

Tumia Vyakula Hivi Ili Kuongeza Uwezo Wako Wa Akili Na Kufikiri - Pr David Mmbaga

Dr. Sarah K & Shachah team - 20th Jan. 2026

Dr. Sarah K & Shachah team - 20th Jan. 2026

FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.

FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.

Mh!😳

Mh!😳 "MTU AKIZINI MARA MOJA TU HII KITU INAMPATA 🙌🏾 NA KUFUTIKA SIO RAHISI" | +SHUHUDA ZA KUTISHA🔥💔

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]