MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA TANZANIA AIRBUS A220-300
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-12-23
Просмотров: 128608
Описание:
Rais John Magufuli hii leo amewaongoza maelfu ya Watanzania kushuhudia na kupokea ndege aina ya Airbus #A220-300 ambayo itatumika kwa mara ya kwanza barani Afrika huku historia hiyo ikiwekwa na Tanzania.
Mapokezi ya ndege hiyo yalifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Wengine waliohudhuria mapokezi hayo in pamoja na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai na Jaji Mkuu Ibrahim Juma.
Wengine ni Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi na mawaziri kadhaa kiwemo waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: