ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

ADHA YA USAFIRI DAR ES SALAAM | NI SIASA AU UCHUMI: a Film By John Maganga

Автор: MLIMANI TV UDSM

Загружено: 2023-01-31

Просмотров: 3137

Описание: Serikali iko katika mpango wa kuanzisha usafiri wa treni za haraka za mijini METRO katikati ya 2025-2035 ili kutatua tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam baada ya zaidi ya miaka 20 ya mateso ya usafiri wa abiria wa jiji hili tangu sera ya mwaka 2003 ya usafirishaji iandaliwe.

Kwa takribani nusu karne Tanzania imekuwa ikiteseka na tatizo la usafirishaji abiria katika jiji la Dar es Salaam hii ni kutokana na idadi kubwa ya watu wanao ishi, kuingia na kutoka katika jiji hilo kufanya usafiri kuwa mchache na foleni kuwa kubwa.

makala hii imeangazia athari za kiuchumi zinazoletwa na changamoto hii kwa na haja ya serikali kutekeleza sera ya mwaka 2003 pamoja na mpango mkakati wa usafiri wa jiji la Dar es salaam.

mataifa mengi ya afrika licha ya kuwa hayajatatua changamoto ya foleni lakini yameshakwisha piga hatua kwa kuanzisha huduma nyingi na kubwa za usafirishaji abiria kama treni za Metro na Trams.

ENGLISH

The government is in the plan to introduce fast urban METRO trains in the middle of 2025-2035 to solve the transport problem in the city of Dar es Salaam after more than 20 years of suffering for passenger transport in this city since the policy of 2003 transportation launched.

For almost half a century, Tanzania has been suffering from the problem of transporting passengers in the city of Dar es Salaam.

this article has highlighted the economic and social effects brought by this challenge and the need for the government to implement the 2003 policy along with the strategic plan for the transportation of the city of Dar es Salaam.

Few African countries, despite not having solved the problem of queues, have already taken steps to establish many large passenger transport services such as Metro trains and Trams.

#foleni #habari #makala #usafiri #tanroads #latra #sgr #mlimanitv #sustainablefinance #worldbank

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ADHA YA USAFIRI DAR ES SALAAM | NI SIASA AU UCHUMI: a Film By John Maganga

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#MAKALA:UHABA WA MVUA ZA VULI NA MFUMUKO WA BEI NA UHABA WA CHAKULA

#MAKALA:UHABA WA MVUA ZA VULI NA MFUMUKO WA BEI NA UHABA WA CHAKULA

🔴LIVE: MAHAFALI YA 17 YA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (UDSM)

🔴LIVE: MAHAFALI YA 17 YA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (UDSM)

Dar es Salaam to Kigoma Tanzania  by Train , TRENI KUTOKA DSM KUELEKEA KIGOMA TANZANIA

Dar es Salaam to Kigoma Tanzania by Train , TRENI KUTOKA DSM KUELEKEA KIGOMA TANZANIA

RAIS SAMIA AIPA TANROADS ZAIDI YA BIL 500 UJENZI MIUNDOMBINU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AIPA TANROADS ZAIDI YA BIL 500 UJENZI MIUNDOMBINU DAR ES SALAAM

✈️ 100 CLOSE UP Aircraft TAKEOFFS & LANDINGS🇳🇵Kathmandu Tribhuvan Airport Plane Spotting [KTM/VNKT]

✈️ 100 CLOSE UP Aircraft TAKEOFFS & LANDINGS🇳🇵Kathmandu Tribhuvan Airport Plane Spotting [KTM/VNKT]

Amazing Tractor Manufacturing Process in Pakistan | Full Factory Tou

Amazing Tractor Manufacturing Process in Pakistan | Full Factory Tou

JAHARA FEBRUARI 20,2026: MAENDLELEO YA KISWAHILI KATIKA KARNE YA 21

JAHARA FEBRUARI 20,2026: MAENDLELEO YA KISWAHILI KATIKA KARNE YA 21

HOTUBA YA RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA IKULU YA BOGOR NCHINI INDONESIA..

HOTUBA YA RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA IKULU YA BOGOR NCHINI INDONESIA..

США только что разбомбили Иран: читайте новости на более высоком уровне.

США только что разбомбили Иран: читайте новости на более высоком уровне.

JPM KUIBADILI DAR -TAZAMA Treni za Mijini kwenda Mbagala,Kigamboni Bagamoyo Pugu, Tegeta,NK.

JPM KUIBADILI DAR -TAZAMA Treni za Mijini kwenda Mbagala,Kigamboni Bagamoyo Pugu, Tegeta,NK.

Ракетный удар США по россиянам? / Взрывы в столице

Ракетный удар США по россиянам? / Взрывы в столице

LEARNING VISIT AT THE UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM DIRECTORATE OF LIBRARY SERVICES

LEARNING VISIT AT THE UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM DIRECTORATE OF LIBRARY SERVICES

UZINDUZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA KIKAGATI MURONGO - UGANDA

UZINDUZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA KIKAGATI MURONGO - UGANDA

JAHARA FEBRUARI 18, 2026: KUJITAMBUA BINAFSI NA MATOKEO YAKE KATIKA AFYA YA AKILI

JAHARA FEBRUARI 18, 2026: KUJITAMBUA BINAFSI NA MATOKEO YAKE KATIKA AFYA YA AKILI

WADAU WA KEMIKALI WAFUNGUKA JINSI GCLA INAVYOWEZESHA UTENDAJIKAZI WAO

WADAU WA KEMIKALI WAFUNGUKA JINSI GCLA INAVYOWEZESHA UTENDAJIKAZI WAO

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Вот Почему Только ТРИ СТРАНЫ Контролируют Сборку Грузовых Кораблей по Всему Миру

Вот Почему Только ТРИ СТРАНЫ Контролируют Сборку Грузовых Кораблей по Всему Миру

Предупреждение адмирала Джихата Яйджы по Ирану: что будет делать Турция, если США нанесут удар?

Предупреждение адмирала Джихата Яйджы по Ирану: что будет делать Турция, если США нанесут удар?

WACHIMBAJI DHAHABU WAIPA HEKO GCLA KWA UWEZESHAJI KANDA YA ZIWA/ MAFANIKIO MIAKA MINNE

WACHIMBAJI DHAHABU WAIPA HEKO GCLA KWA UWEZESHAJI KANDA YA ZIWA/ MAFANIKIO MIAKA MINNE

WECHEMANYIEN MACHIEGNI PACHO -   [22/02/2026]

WECHEMANYIEN MACHIEGNI PACHO - [22/02/2026]

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]