RC SIMIYU AZINDUA KLINIKI YA SHERIA BILA MALIPO
Автор: Bariadi DC
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 14
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anamringi Macha leo Februari 03, 2026 amezindua Kliniki ya Sheria bila malipo ambayo inatarajia kutoa huduma mbalimbali za kisheria kwa takribani siku saba.
Wakati akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Kliniki hiyo pamoja na Kamati ya Ushauri wa masuala ya Kisheria Mhe.Macha amewaomba wananchi wenye uhitaji kujitokeza kwa wingi ili azma ya Serikali ya kuwasogezea wananchi huduma za kisheria iweze kutimia kwa vitendo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: