SHUGHULI ZA KILIMO ZAENDELA BARIADI
Автор: Bariadi DC
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 34
Описание:
Kutokana na mvua kuendelea kunyesha katika Wilaya ya Bariadi, Wakulima watumia fursa hiyo kuendelea na shughuli za kilimo.
Mtaalamu wa Kilimo Bw. George Mwaja atoa somo kuhusu mazao yanayofaa kupandwa katika kipindi hiki ambacho mvua si za uhakika kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: