BARAZA LA FAMASI LAONYA WAMILIKI WA MADUKA
Автор: KAHAMA TV ONLINE
Загружено: 2021-12-10
Просмотров: 616
Описание:
BARAZA LA FAMASI LAONYA WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA ZA BINADAMU KUTOWEKA MATANGAZO YA HUDUMA KATIKA MILANGO YA MADUKA YAO
MSAJILI wa Baraza la Famasi Nchini,Mfamasia Elizabeth Shekalaghe ametoa onyo kwa Wamiliki wa Maduka ya Dawa za binadamu yote kutoweka matangazo ya huduma katika milango ya maduka yao kwani ni kinyume na Sheria ya Baraza hilo.
USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE
BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU
https://www.youtube.com/channel/UCcCo...
/ kahamatvonline
#KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: