JINA LA DUKA LA DAWA PHARMACY
Автор: PDK Generation
Загружено: 2023-03-12
Просмотров: 324
Описание:
Jina la duka la dawa ama pharmacy ni lazima lipitiwe kwanza na kupitishwa au kukubaliwa na baraza la pharmacy kabla halijaanza kutumika.
Wenye nia ya kuingia kwenye biashara hii wazingatie sana hilo.
Kwa mujibu wa kanuni, jina la biashara ya dawa halipaswi kuwa linalopotosha jamii. @ITVTanzaniaTz @CLOUDSMEDIA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: