Mama mmoja ajenga manyata ya ghorofa Samburu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 9778
Описание: Hakusoma wala kutimiza ndoto yake ya kuwa mhandisi, ila mama mmoja kutoka kaunti ya Samburu Jecinta Lelukumani amesema ana imani yeye ni mhandisi wa kuzaliwa. Mama huyu wa watoto sita akisema ari yake ya kuwa mhandisi bila elimu baada ya kuozwa mapema kulimsukuma kuanza kujijengea mwenyewe manyatta ya ghorofa katika kijiji kidogo cha Baawa huko Samburu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: