Wakazi wa Samburu wana wasiwasi kuhusu matumizi ya fedha za bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 287
Описание: Wakazi wa kaunti ya Samburu wameibua wasiwasi kuhusu matumizi ya fedha za bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025, wakihofia kufujwa kwa fedha za umma. Katika kikao cha kupokea maoni kuhusu bajeti ya mwaka ujao wa kifedha, wakazi wameshinikiza uwajibikaji zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: