VITASA | Karim Mandonga alivyompiga Said Mbelwa 'TKO' | Punch Of Fire 25/11/2022
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-11-25
Просмотров: 457298
Описание:
MO GREEN VITASA NIGHT: Tazama jinsi ngumi #ndoige kutoka kwa Karim Mandonga ilivyofanya kazi ikimpiga Said Mbelwa TKO raundi katika pambano la raundi sita.
Ni #MoGreenVitasaNight #PuchOfFire kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro Novemba 25/11/2022
Hili lilikuwa ni pambano la pili la utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Twaha Kiduku dhidi ya Victor Hugo Exner kutoka Argentina.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: