VITASA | Tazama Ibra Class alivyomchapa KO Alan Pina kutoka Mexco | Mo Boxing 30/09/2022
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-10-01
Просмотров: 303792
Описание:
IBRA CLASS vs ALAN PINA: Hili hapa pambano zima kati ya Mtanzania Ibrahim Class dhidi ya Allan Pina raia wa Mexico, likimalizika kwa Ibra Class kupata ushindi wa KO raundi ya tisa... pambano likiwa ni la raundi kumi.
Ni katika #UsikuWaVitasa #MoBoxing uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: