PART 2| MANGUNGU ATOA MAJIBU YA KUFUNGA MKUTANO KWA LAWAMA/ AJENDA ZILIISHA NINGESUBIRI NINI?
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 1170
Описание:
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu ametoa ufafanuzi kuhusiana na lawama alizopata baada ya kuufunga mkutano mkuu kwa lawama kutoka kwa baadhi ya wanachama,
Mangungu ametoa ufafanuzi huo kwenye muendelezo wa mahojiano maalum na Clouds Media ambapo pia ameeleza utaratibu wa kadi za wanachama kwa klabu hiyo unaokuja hivi karibuni
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: