SHEDDY CLEVER :MIMI NA DIAMOND TULIMGEUKA DAYNA/KISA WIMBO WA NUMBER ONE/SIJAWAHI SHIKA TUNZO ZA DAI
Автор: KuviFacts
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 1671
Описание:
THE CLASSIC SHEDDY CLEVER
Sheddy Clever ni moja ya watayarishaji waliofanya vizuri kwenye muziki wa Bongoflava ,alikua ni sehemu ya mafaniko ya msanii Diamond Platnumz kimataifa ambapo walifanya wimbo uliomtoa kimataifa wa Number One ambao baade bwalifanya remix na Davido ambapo safari ya diamond ikafanikiwa kimataifa,hata hivyo alifanya kazi na wasanii wengi wakubwa Tanzania,hii ni sehemu ya hadithi zake za maisha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: