ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2025 MKOANI KATAVI.

Автор: KATAVI RS

Загружено: 2025-10-23

Просмотров: 445

Описание: Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Katavi, Bi. Rebecca Msambusi, amesema maandalizi yote ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yamekamilika kikamilifu. Akizungumza na kituo cha redio cha Mpanda FM, leo Oktoba 23, 2025, Bi. Msambusi ameeleza kuwa uchaguzi huo utafanyika katika majimbo matano ya mkoa wa Katavi, Mpanda Mjini, Tanganyika, Nsimbo, Katavi na Kavuu. Amesisitiza kuwa jumla ya vituo 1,544 vya kupigia kura vimeandaliwa ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unafanyika kwa utaratibu na ufanisi.

Ameeleza kuwa tangazo la uchaguzi limebandikwa katika vituo vyote vya kupigia kura likiwa na mfano wa karatasi ya kura kwa lengo la kuwaelimisha wananchi kuhusu utaratibu wa upigaji kura. Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa moja kamili asubuhi na kufungwa saa kumi kamili jioni, wakati vituo vilivyoko magerezani na katika vyuo vya mafunzo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa tisa alasiri.

Bi. Msambusi amefafanua kuwa mpiga kura atakayestahili kupiga kura ni yule aliyejiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, mwenye kadi halali ya mpiga kura, na anayepiga kura katika kituo alichopangiwa au mwenye kibali cha kupiga kura kituo kingine kwa mujibu wa sheria. Ameongeza kuwa mawakala walioapishwa watakuwepo katika vituo vyote vya kupigia kura ili kuhakikisha mchakato wa upigaji kura unafanyika kwa mujibu wa sheria na kwa utulivu.

Aidha, amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itatangaza matokeo mara baada ya kujumlisha kura kukamilika, ambapo matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa 48 hadi 72 baada ya upigaji kura. Amewataka wananchi wote wa Mkoa wa Katavi kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi ili kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao, na amekumbusha kaulimbiu ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 isemayo: “Kura Yako Haki Yako, Jitokeze Kupiga Kura.”

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2025 MKOANI KATAVI.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

МЫНА САГА! ЧЫНДЫК ТОЛУГУ МЕНЕН АЧЫКТАЛДЫ/ АЯГЫНА ЧЕЙИН КӨРГҮЛӨ ШОК БОЛОСУНАР / ЭРУЛАН АГЫНАН ЖАРЫЛДЫ

МЫНА САГА! ЧЫНДЫК ТОЛУГУ МЕНЕН АЧЫКТАЛДЫ/ АЯГЫНА ЧЕЙИН КӨРГҮЛӨ ШОК БОЛОСУНАР / ЭРУЛАН АГЫНАН ЖАРЫЛДЫ

50 КГ ЖҮК МЕНЕН ЧОКУГА КАРАЙ: РАЦЕК ЛАГЕРИНИН ПОРТЕРЛЕРИ

50 КГ ЖҮК МЕНЕН ЧОКУГА КАРАЙ: РАЦЕК ЛАГЕРИНИН ПОРТЕРЛЕРИ

რუსეთ-უკრაინის ომის 4 წელი | ინტერვიუ გიორგი ქუფარაშვილთან

რუსეთ-უკრაინის ომის 4 წელი | ინტერვიუ გიორგი ქუფარაშვილთან

ТЫНАР МЭР ЖӨНҮНДӨ ЭРКЕКЧЕ АЙТТЫ//МЫНДАЙ ИШТЕГЕН МЭР БОЛГОН ЭМЕС

ТЫНАР МЭР ЖӨНҮНДӨ ЭРКЕКЧЕ АЙТТЫ//МЫНДАЙ ИШТЕГЕН МЭР БОЛГОН ЭМЕС

Удар РФ по объекту США / Британские войска отправляются в Украину

Удар РФ по объекту США / Британские войска отправляются в Украину

Ордону өзгөрткөн он күн

Ордону өзгөрткөн он күн

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

Nie Wiedział Że To Był Bruce Lee — Dowódca Wybrał Złego Człowieka By Zademonstrować Swoją Technikę

Nie Wiedział Że To Był Bruce Lee — Dowódca Wybrał Złego Człowieka By Zademonstrować Swoją Technikę

MAMA WA JOHN HECHE AJITOKEZA POLISI CENTRAL AKITAKA KUJUA KILICHOMKUTA MWANAE BAADA YA KUKAMATWA

MAMA WA JOHN HECHE AJITOKEZA POLISI CENTRAL AKITAKA KUJUA KILICHOMKUTA MWANAE BAADA YA KUKAMATWA

NILIKATAA kufanya MAPENZI na Mwanaume Mwenzangu nikamwagiwa TINDIKALI

NILIKATAA kufanya MAPENZI na Mwanaume Mwenzangu nikamwagiwa TINDIKALI

MAHAKAMA YA MWANZO SIKONGE  YAMALIZA MASHAURI YOTE 481.

MAHAKAMA YA MWANZO SIKONGE YAMALIZA MASHAURI YOTE 481.

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

Ukraina zrobiła coś NIEWIARYGODNEGO w Pokrowsku… Rosja nie ma szans!

Ukraina zrobiła coś NIEWIARYGODNEGO w Pokrowsku… Rosja nie ma szans!

🚨Unabii wa SGR....‼️Treni yapata Ajali

🚨Unabii wa SGR....‼️Treni yapata Ajali

POLSKA MOŻE ZAMINOWAĆ GRANICE. KONWENCJA OTTAWSKA NIE OBOWIĄZUJE

POLSKA MOŻE ZAMINOWAĆ GRANICE. KONWENCJA OTTAWSKA NIE OBOWIĄZUJE

Globalny KRACH zacznie się w MARCU? To KONIEC Dolara? ZŁOTO, SREBRO czy BITCOIN? - Radek Pogoda

Globalny KRACH zacznie się w MARCU? To KONIEC Dolara? ZŁOTO, SREBRO czy BITCOIN? - Radek Pogoda

FAMILIA YAMTAFUTA HECHE

FAMILIA YAMTAFUTA HECHE

DRAMAT Sakiewicza, ZDRADA Paczuskiej | Dominika Wielowieyska 20.02.2026

DRAMAT Sakiewicza, ZDRADA Paczuskiej | Dominika Wielowieyska 20.02.2026

Bracia Rodzeń: Prawda o Ozempiku, której Twój lekarz Ci nie powie - Gosia Ohme Podcast

Bracia Rodzeń: Prawda o Ozempiku, której Twój lekarz Ci nie powie - Gosia Ohme Podcast

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]