ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

UCHANGANUZI | TRA yaimarisha ukusanyaji wa mapato kupitia mfumo wa kisasa wa IDRAS

Автор: UTV Tanzania

Загружено: 2026-02-25

Просмотров: 176

Описание: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema maboresho ya mfumo wa kielektroniki wa usimamizi wa kodi, IDRAS, yamechangia kuongezeka kwa idadi ya walipa kodi nchini.

Akizungumza kuhusu mafanikio hayo, Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa TRA, Buluba Kanuda, amesema ongezeko hilo limetokana na ushirikishwaji mkubwa wa wananchi katika kulipa kodi pamoja na maboresho ya utaratibu wa makato ya kodi kwa waajiriwa.

Ameeleza kuwa tofauti na ilivyokuwa awali ambapo baadhi ya waajiriwa walitegemea waajiri wao kushughulikia kikamilifu masuala ya kodi, mfumo wa sasa unamwezesha mwajiriwa kufuatilia na kuthibitisha malipo yake moja kwa moja, jambo lililoongeza uwajibikaji na uwazi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
UCHANGANUZI | TRA yaimarisha ukusanyaji wa mapato kupitia mfumo wa kisasa wa IDRAS

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

TAARIFA YA HABARI - AZAM TV - 26/02/2026

MAKALA | Safari ya kituo cha utafiti cha KCRI katika kukabili magonjwa kwa njia ya utafiti

BOT YATAHADHARISHA KUHUSU CRYPTOCURRENCY(FEDHA MTANDAO), YAELEZA SUALA LA MABENKI KUPANDISHA RIBA

Simu ya mwisho ya Kardinali kwa Dada yake wa Pekee/ Mama Khamsini aelezea Sababu/ Siku za Ugonjwa ..

MSD inatarajia kuanza kuzalisha ARV nchini kuongeza upatikanaji wa dawa hizo

RITA YAVUNJA BODI YA WADHAMINI YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TANZANIA

CRDB Kushuka Bei: Mwekezaji Makini Afanye Nini?

🔥 На Банковой паника. Рейтинг Зеленского трещит по швам! Кого поддерживают украинцы? / РЕЙТЕРОВИЧ

EL Mencho: Muuza Unga Katili aliyeogopwa nchini Mexico na alivyouawa kwa mapambano makali na Jeshi

Walinzi kaa chini, Mwacheni huyo mama I'm in full Control - Bish. Gwajima.

UCHAMBUZI | Hotuba kwa Taifa ya Rais Trump ilivyozua gumzo nchini Marekani

LiveNaGee: UKWELI KUHUSU KUAJIRIWA NA KUJIAJIRI - Cossmas Madulu

''MMEIBA NONDO 700 - TOFALI 2000 - MNACHUNGUZA NINI? UKINIDANGANYA UNAKAMATWA SASA HIVI'' - MWIGULU

MZEE MASATU|ZANZIBAR MIMI SIENDI HATA KWA VIBOKO😂YANGA KAMA MAREKANI TUTAFUNGWA ZANZIBAR|NIMEUMIA

MBUNGE NCHINI MAREKANI ALIYEMUINULIA TRUMP BANGO LENYE UJUMBE 'WATU WEUSI SIO NYANI' ATOLEWA NJE

Kutoka Ikulu hadi kesi ya Jaribio la Mauaji: Maisha ya Anasa ya Mtoto wa mwisho wa Mugabe yanatisha

Mfanyakazi wa nyumbani, raia wa Uganda, kunyongwa Syria, katika Dira ya Dunia TV

RC MTAKA HATIKISWI AISEE, Kwanini Ulale Guest ya Elfu 5, Wastaafu Awapa Angalizo

MWANAMKE ALIEFUNGUA MLANGO WA KIFO KWA BOSI WA GENGE LA DAWA ZA KULEVYA MEXICO KWA DAU LA DOLA MIL15

PART 1: CHANZO CHA KESI YA MKE WA MENGI, UKWELI HUU HAPA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]