'Kigogo' wa Marekani ajiuzulu akipinga vita dhidi ya Iran
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-03-17
Просмотров: 17367
Описание: Afisa mkuu wa Marekani anayeshughulikia mapambano dhidi ya ugaidi Joe Kent, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo akisema Iran haikuwa tishio lolote kwa taifa la Marekani, na kwamba walianzisha vita kutokana na shinikizo kutoka kwa Israeli na ushawishi wake kwa Marekani. Haya yanajiri wakati mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakipamba moto. #DiraYaDuniaTV
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: