DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 18.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-19
Просмотров: 16624
Описание:
Karibu katika matangazo yetu na haya ni miongoni mwa tuliyokuandalia
++ Israel imetangaza kumuua waziri anayesimamia masuala ya ujasusi wa Iran Esmail Khatib, wakati Iran ikifanya maziko ya pamoja ya maafisa wake waliouliwa Jumanne.
++Mamia ya wakazi katika baadhi ya vijiji vya bonde la mto Ruzizi wameyahama makazi yao wakikimbia mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa AFC-M23
++ Kesi ya uhamiaji kati ya Rwanda na Uingereza imeanza kusikilizwa leo katika mahakama ya usuluhishi wa kudumu (PCA) mjini The Hague.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: