RC MAKONDA: 'NATOA SAA 24 KWA WABUNGE WAZURURAJI DSM, "TUSILAUMIANE"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-05-06
Просмотров: 11958
Описание:
*WABUNGE WAZURURAJI KUONDOSHWA DAR BAADA YA SAA 24*.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo May 06 ametoa Saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es salaam "kula bata" kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo watakamatwa kwa kosa la Uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura Usiku.
RC Makonda: amesema Mbunge anaepaswa kuwa Dar es salaam ni yule mwenye Kibali au Ruhusa ya Spika wa Bunge tofauti na hapo ni vyema wakafunga virago vyao na kurudi Bungeni ili kuepuka kukamatwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: