MWANZO MWISHO: Ziara ya RC MAKONDA DSM Leo
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-04-15
Просмотров: 2318
Описание:
MWANZO MWISHO: Ziara ya RC MAKONDA DSM Leo
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemtaka mkandarasi Wa ujenzi wa Barabara iliyopo Biafla Kinondoni Jijini Dar es salaam kufika ofisini kwake kujieleza siku ya Ijumaa April 19 mwaka huu baada ya kuijenga barabara hiyo chini ya kiwango.
Makonda ameitoa kauli hiyo akiwa katika ziara yake wilaya ya Kinondoni Dar es salaam ya kukagua miundombinu ya barabara na vituo vya afya vinavyojengwa kwenye wilaya hiyo.
Hata hivyo Makonda amesema kuwa anafurahishwa na hali ya miradi mbalimbali inavyoendelea huku akikemea baadhi ya wakandarasi wanaojenga miundombinu chini ya viwango akitolea mfano barabara ya Barafu kigogo ambayo mkandarasi ametakiwa Kurudia kujenga mifereji ya kupitisha maji.
Katika ziara hiyo makonda ametembelea soko la Africa sana na soko la Magomeni ambapo yote kwa pamoja amedai kufurahishwa na maendeleo ya ujenzi wa masoko hayo.
#RCMAKONDA
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website:
www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: