VIDEO KUTOKA ETHIOPIA: RAIS SAMIA ALIVYOHUTUBIA MBELE ya VIONGOZI WAKUU wa NCHI na SERIKALI AFRIKA..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 687
Описание:
VIDEO KUTOKA ETHIOPIA: RAIS SAMIA ALIVYOHUTUBIA MBELE ya VIONGOZI WAKUU wa NCHI na SERIKALI AFRIKA..
CC; BAKARI MAHUNDU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Mkutano wa Italia na Nchi za Afrika leo tarehe 13 Februari, 2026, jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Mkutano huo uliwakutanisha Wakuu wa Nchi na Serikali, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa pamoja katika nyanja za kiuchumi, nishati na masuala ya kiusalama
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: