PCEA yalalamika uvamizi wa mikutano ya siasa; ODM wakosoa kuvurugwa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 4578
Описание: Kanisa la PCEA nchini limeitaka wizara ya usalama kufanya haraka kukomesha mashambulizi yanayoshuhudiwa katika mikutano ya kisiasa, likionya kwamba visa vinavyoendelea kushuhudiwa vinahatarisha usalama wa nchi. Kanisa hilo likilaani shambulizi la mkutano wa mrengo wa ODM mtaani kitengela huku pia viongozi wa mrengo wa katibu wa ODM Edwin Sifuna wakitaka uchunguzi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: