Tumefanya Tour PALM VILLAGE, Mall ya kisasa inayotikisa jiji la Dar, ni amazing, kuna kila kitu
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2020-07-18
Просмотров: 16380
Описание: Palm Village Mall, ni eneo la kisasa lililopo Mikocheni, Kwa Warioba jijini Dar es Salaam ambalo limeanza kujipatia umaarufu mkubwa. Kuna shopping mall kubwa yenye maduka ya aina mbalimbali, sehemu za kupumzika, makazi ya watu na vitu vingine. Tumefanya tour kukutembeza kwenye sehemu muhimu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: