Bei za vyakula zapanda maradufu Tanzania
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2017-04-03
Просмотров: 9846
Описание: Bei za vyakula Tanzania zimepanda katika masoko mengi. Vyakula hivyo ni kama mahindi, mchele, maharagwe na mboga. Wauzaji pamoja na wananchi wanalalamikia ugumu wa maisha kutokana na kuongezeka huko kwa bei za bidhaa muhimu.Na sio tu vyakula, hata bei za mafuta zimepanda!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: