PICHA YA UTATA YAZUA TAHARUKI MJI MKONGWE, MAMLAKA YATOA ONYO KALI
Автор: ASAM Online TV
Загружено: 2025-07-19
Просмотров: 37198
Описание:
Mamlaka ya Uhifadhi na Uendeshaji Mji Mkongwe imewataka wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii kufuata sheria na kanuni zilizowekwa katika kulinda hadhi, haiba na vivutio vya kihistoria vilivyopo ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, kwa maslahi ya taifa na vizazi vijavyo.
#AsamOnlineTV
#MjiMkongweZanzibar
#UrithiWaDunia
#ZanzibarHeritage
#SheriaNaKanuni
#MitandaoNaUwajibikaji
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: