MAMBO MATATU ALIYOPEWA KOCHA GAMONDI NA WAZIRI MAKONDA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 43
Описание:
Baada ya kocha Miguel Gamondi kusaini mkataba wa miaka 2 kuifundisha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ameweka wazi mambo 3 anayopaswa kuyafanya wakati wa utendaji wa kazi yake.
Miongoni mwa mambo hayo ni kuifanya Taifa Stars kuwa bora kuliko mwanzo, kufuatilia wachezaji wenye vipaji ambao ni raia wa Tanzania walioko nje ya nchi na kuwaita kutumikia timu ya taifa na kuandaa programu nyingi za kujenga uwezo wa vijana.
Mhariri | @rajjmsangi
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: