ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO NA UTAMADUNI AYASHAURI MAJESHI.

Автор: RS MOROGORO

Загружено: 2024-09-15

Просмотров: 7657

Описание: NAIBU WAZIRI WA MICHEZO NA UTAMADUNI AYASHAURI MAJESHI.

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amelishauri Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) kuendeleza michezo mbalimbali katika makambi ya majeshi na sehemu za kazi ili kuibua vipaji vipya lakini bila kusahau kutekeleza jukumu lao la msingi la Ulinzi na Usalama.

Naibu Waziri Mwinjuma ametoa ushauri huo Septemba 15, 2024 wakati akifunga mashindano ya majeshi Tanzania yaliyozinduliwa Septemba 6, 2024 ambapo kwa mwaka huu mashindano hayo yamefanyika Mkoani Morogoro yakiwa na kaulimbiu inayosema "michezo ni furaha, Afya na ajira".

Amesema, kuna umuhimu mkubwa wa wanamichezo kutoka jeshini kushiriki michezo mbalimbali na kuweza kuliwakilisha Taifa katika mashindano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa hivyo ni jukumu lao kuweka mazingira wezeshi kwa wanamichezo hao ili kuweza kufikia malengo.

"..Juhudi za kuendeleza michezo katika makambi na sehemu za kazi zizidi kuimarishwa na kuendelezwa.." Amesema Hamis Mwinjuma

kiongozi huyo ameendelea kutoa ushauri kwa Baraza hilo kuendelea kushirikiana na Wizara yenye dhamana ya michezo na mashirikisho ya vyama vya michezo nchini katika kuweka taratibu ambazo zitawezesha majeshi yetu kuendelea kutoa wawakilishi wengi wanaoliwakilisha Taifa katika mashindano ya Kimataifa.

Sanjari na hayo amelishauri Baraza hilo kuendelea kutoa mafunzo kwa walimu na waamuzi, kujenga viwanja vya michezo, na kuendeleza programu za kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana katika michezo ili kutengeneza wanamichezo watakaoshiriki mashindano mbalimbali.

Aidha, Naibu Waziri ameyataka majeshi yote kuendelea kutekeleza jukumu lao la msingi la kulinda watu na mali zao ili kuimarisha ulinzi na Usalama hapa nchini na taifa kuendelea kubaki kuwa kisiwa cha AMANI.

"Jambo la muhim kabisa, nichukue fursa hii kuwakumbusha utekelezaji wa jukumu lenu la msingi ambalo ni Ulinzi wa taifa letu na mipaka yake...." amesisitiza Naibu Waziri.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amesema michezo hiyo katika mkoa huo imefanikiwa kwa kiwango kikubwa na wanamichezo wameonesha vipaji vyao huku akilishauri BAMMATA mwakani tena kuleta mashindano hayo mkoani Morogoro.

Naye Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Jeneral Saidi Hamisi Saidi ameishukuru Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Michezo Taifa (BMT) kwa kuwezesha kutoa msaada wa kiufundi kwa BAMMATA huku akisema kumalizika kwa mashindano hayo ni muda wa kwenda kujipanga kwa ajili ya kushiriki mashindano ya kitaifa na kimaifa.

MWISHO.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NAIBU WAZIRI WA MICHEZO NA UTAMADUNI AYASHAURI MAJESHI.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

ВОЙНА НАЧАЛАСЬ? США ударили по Венесуэле — Мадуро захвачен! Первые подробности | FREEДОМ LIVE

ВОЙНА НАЧАЛАСЬ? США ударили по Венесуэле — Мадуро захвачен! Первые подробности | FREEДОМ LIVE

Ucieczka, która zabiła Afrika Korps i legendę Rommla

Ucieczka, która zabiła Afrika Korps i legendę Rommla

RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI

RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI

Generali Venance Mabeyo amuaga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Avitaka vyombo vya Ulinzi Kushirikiana.

Generali Venance Mabeyo amuaga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Avitaka vyombo vya Ulinzi Kushirikiana.

Bomby na Wenezuelę! Dlaczego Trump zaatakował i porwał prezydenta? — Marek Stefan i Piotr Zychowicz

Bomby na Wenezuelę! Dlaczego Trump zaatakował i porwał prezydenta? — Marek Stefan i Piotr Zychowicz

КАДЫРОВА УВЕЗЛИ В РЕАНИМАЦИЮ ПОСЛЕ ВСТРЕЧИ С ПУТИНЫМ! Он не выживет. Режим в Чечне пошел в РАЗНОС

КАДЫРОВА УВЕЗЛИ В РЕАНИМАЦИЮ ПОСЛЕ ВСТРЕЧИ С ПУТИНЫМ! Он не выживет. Режим в Чечне пошел в РАЗНОС

🤯ЭТО СЛУЧИЛОСЬ НОЧЬЮ! УКРАИНА РВАНУЛА НА МОСКВУ! ДОНЕЦК - АД! ПОСТУПИЛ ПРИКАЗ! — ТЕМА ДНЯ

🤯ЭТО СЛУЧИЛОСЬ НОЧЬЮ! УКРАИНА РВАНУЛА НА МОСКВУ! ДОНЕЦК - АД! ПОСТУПИЛ ПРИКАЗ! — ТЕМА ДНЯ

Zimamoto yawaaga viongozi wastaafu

Zimamoto yawaaga viongozi wastaafu

Dlaczego Iran płonie? Waluta na dnie! Sklepy zamknięte!

Dlaczego Iran płonie? Waluta na dnie! Sklepy zamknięte!

USA zaatakowały Wenezuelę. Maduro w kajdankach

USA zaatakowały Wenezuelę. Maduro w kajdankach

#TBC1: KISWAHILI MTAANI - KISWAHILI FASAHA KATIKA KUADHIMISHA SIKUKUU MBALIMBALI (EP 08)

#TBC1: KISWAHILI MTAANI - KISWAHILI FASAHA KATIKA KUADHIMISHA SIKUKUU MBALIMBALI (EP 08)

WYBORCZA ZWALNIA PRACOWNIKÓW. KŁOPOTY MICHNIKA I AGORY

WYBORCZA ZWALNIA PRACOWNIKÓW. KŁOPOTY MICHNIKA I AGORY

Szokujące nokauty! Jak Mike Tyson pokarał tych, którzy go lekceważyli

Szokujące nokauty! Jak Mike Tyson pokarał tych, którzy go lekceważyli

James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu

James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu

Msukuma AMLIPUA GWAJIMA BILA UOGA

Msukuma AMLIPUA GWAJIMA BILA UOGA "UNAMPANGIA RAIS CHA KUFANYA" WAKENYA WAPEWA UJUMBE MZITO...

Rc Malima awatembelea majeruhi wa ajali, atoa wito kwa wananchi.

Rc Malima awatembelea majeruhi wa ajali, atoa wito kwa wananchi.

Je Wajua Kuwa Daraja la Umoja Mtambaswala linalounganisaha Tanzania na Msumbiji  Linatembea?

Je Wajua Kuwa Daraja la Umoja Mtambaswala linalounganisaha Tanzania na Msumbiji Linatembea?

ROUTE MATCH YA VYOMBO YA USALAMA MKOANI SONGWE KUIMARISHA MAHUSIANO

ROUTE MATCH YA VYOMBO YA USALAMA MKOANI SONGWE KUIMARISHA MAHUSIANO

BURUDANI,MAJESHI YALIVYOSHINDANA KUDANSI ZANZIBAR

BURUDANI,MAJESHI YALIVYOSHINDANA KUDANSI ZANZIBAR

Мадуро захвачен: упадёт ли нефть? Успешная операция спецназа США: что в Венесуэле | Демченко

Мадуро захвачен: упадёт ли нефть? Успешная операция спецназа США: что в Венесуэле | Демченко

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]