RC SENDIGA AWAGEUKIA MADIWANI, NIAMINI MANENO YANGU HUTOSHI WEWE, UTATUSAIDIA NINI?
Автор: Revivalfmtz
Загружено: 2026-02-10
Просмотров: 577
Описание:
RC SENDIGA AWATAKA MADIWANI KUHESHIMU MIPAKA YA MAJUKUMU YAO
MKuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara kuheshimu mipaka ya majukumu yao.
RC Sendiga, ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi na Utawala bora kwa Madiwani yaliyoandaliwa na Ofisi wa Waziri Mkuu TAMISEMI yaliyo fanyika katika ukumbi wa Maktaba Wilayani Kiteto, leo Februari 10, 2026.
"Madiwani mfanye kazi kwa kuheshimu mipaka ya majukumu yenu ili kuepuka migongano ya kiutendaji na badala yake muwajibike katika kuwahudumia Wananchi na kushiriki utatuzi wa migogoro ya ardhi katika kata zenu" amesema RC Sendiga.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: