ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Utoaji wa miche utafanyika kwa wakulima waliothibitishwa na maafisa ugani.

Автор: LUDEWA ONLINE TV

Загружено: 2025-12-30

Просмотров: 159

Описание: KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA
Ludewa, Njombe:
Zao la kahawa limeendelea kupata msukumo mpya katika Wilaya ya Ludewa, huku wananchi wa Kijiji cha Lupande, Kata ya Mawengi wakionyesha mwitikio mkubwa wa kujiunga na kilimo hicho cha kibiashara baada ya kupatiwa miche bora bure kupitia mpango wa Serikali kwa kushirikiana na Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Njombe (NJORECO).

Zoezi la uzinduzi wa ugawaji wa miche hiyo limefanyika leo, Desemba 29, 2025 katika Kitalu cha Kikundi cha Kahama (Kahawa ni Mali) kilichopo eneo la Lyunguya. Uzinduzi huo umefanywa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Mhe. Wise Mgina, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Ndg. Olivanus Thomas, akiambatana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Ndg. Castory Kibasa.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhe. Mgina aliishukuru Serikali kupitia Bodi ya Kahawa kwa kutoa miche hiyo bure kwa wakulima, akisema hatua hiyo ni kichocheo kikubwa cha kuhamasisha wananchi kuingia kwenye kilimo cha biashara chenye tija.
Alibainisha kuwa Halmashauri imejipanga kutenga fedha kusaidia wakulima wanaojikita kwenye mazao ya biashara kama kahawa, huku akiwataka maafisa kilimo kushuka mashambani badala ya kukaa ofisini ili kuwasaidia wakulima kutatua changamoto zao.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndg. Castory Kibasa, akiwasilisha taarifa ya uzalishaji wa kahawa wilayani humo alisema hadi sasa kuna wazalishaji nane wa miche ya kahawa, na jumla ya miche 593,000 inatarajiwa kuzalishwa.
Alisisitiza kuwa utoaji wa miche hiyo utafanyika kwa wakulima waliothibitishwa na maafisa ugani kuwa wanakidhi vigezo vya kupokea miche.

Wananchi wa Lupande wamefurahishwa na mpango huo, wakieleza kuwa kahawa ni zao la uhakika lenye bei nzuri sokoni na litachangia kuongeza kipato cha familia pamoja na mapato ya Halmashauri.

Zoezi la ugawaji linaendelea katika vikundi mbalimbali ikiwemo Kikundi cha Umoja Mawengi, Kahawa ya Vikonyo Lufumbu (Kata ya Mlangali), Kikundi cha Ukavil Ligumbiro, Kahawa ya Vikonyo Ludende, Ludewa Coffee Seedlings Ludewa na Kikundi cha Njelela.

Wananchi wameahidi kushirikiana na Serikali na kusimamia vyema miche waliyopewa ili kulifanya zao la kahawa kuwa mkombozi wa kiuchumi kwao na kwa vizazi vijavyo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Utoaji wa miche utafanyika kwa wakulima waliothibitishwa na maafisa ugani.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Ludewa ya Utalii

Ludewa ya Utalii

WAFUGAJI KICHEKO MKAKATI KUPUNGUZA MIGOGORO YA ARDHI

WAFUGAJI KICHEKO MKAKATI KUPUNGUZA MIGOGORO YA ARDHI

RC MTAKA AWACHARUKIA WATENDAJI WA HALMASHAURI KISA TOZO

RC MTAKA AWACHARUKIA WATENDAJI WA HALMASHAURI KISA TOZO "NASUBIRI TUMALIZE UCHAGUZI, NAFUTA USHURU"

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

LUDEWA LANGO LA UWEKEZAJI, WANALUDEWA TUPOKEE NA TUTOE USHIRIKIANO KWA WAWEKEZAJI WANAOKUJA LUDEWA.

LUDEWA LANGO LA UWEKEZAJI, WANALUDEWA TUPOKEE NA TUTOE USHIRIKIANO KWA WAWEKEZAJI WANAOKUJA LUDEWA.

KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA.

KAHAWA YAENDELEA KUNOGA LUDEWA — WANANCHI LUPANDE WASHIKA KASI KILIMO CHA BIASHARA.

DC LUDEWA ATOA MAJIBU JUU YA BARABARA YA LUSITU, MADILU HADI ILININDA

DC LUDEWA ATOA MAJIBU JUU YA BARABARA YA LUSITU, MADILU HADI ILININDA

#TBC1: MWANAZUONI - UKUBWA WA PARACHICHI SIO 'DEAL' UBORA NDIO MCHONGO

#TBC1: MWANAZUONI - UKUBWA WA PARACHICHI SIO 'DEAL' UBORA NDIO MCHONGO

СТРАШНОЕ ПРЕДСКАЗАНИЕ Мессинга: 26 января 2026 — точка невозврата!

СТРАШНОЕ ПРЕДСКАЗАНИЕ Мессинга: 26 января 2026 — точка невозврата!

Если РФ аннексирует Гренландию

Если РФ аннексирует Гренландию

DC LUDEWA ATOA WITO KWA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA KUJIANDAA KWA UWEKEZAJI.

DC LUDEWA ATOA WITO KWA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA NA KUJIANDAA KWA UWEKEZAJI.

DC LUDEWA - LEMBUKA LUDEWA NI MARA MBILI KWA MWEZI VINGINEVYO (NTAWAMIX BILA YAS)

DC LUDEWA - LEMBUKA LUDEWA NI MARA MBILI KWA MWEZI VINGINEVYO (NTAWAMIX BILA YAS)

DC LUDEWA ATATUA MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA MADUNDA

DC LUDEWA ATATUA MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA MADUNDA

Почему Ленин отдал Арарат Турции? Ленин поставил не на тех…. Кремль, Ататюрк и гора раздора.

Почему Ленин отдал Арарат Турции? Ленин поставил не на тех…. Кремль, Ататюрк и гора раздора.

Kilimo cha matangi Rungwe

Kilimo cha matangi Rungwe

🔴#LIVE: CLEMENCE MWANDAMBO ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU AFICHUA ALICHOAMBIWA BAADA YA KUKAMATWA...

🔴#LIVE: CLEMENCE MWANDAMBO ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU AFICHUA ALICHOAMBIWA BAADA YA KUKAMATWA...

SERIKALI ILIVYO WANUFAISHA WAKULIMA WA KAHAWA MBINGA MJI

SERIKALI ILIVYO WANUFAISHA WAKULIMA WA KAHAWA MBINGA MJI

Их арестовали с удобрением Magumashi Tunduma.

Их арестовали с удобрением Magumashi Tunduma.

Мобилизация отменяется? Вы не поверите, но это факт!

Мобилизация отменяется? Вы не поверите, но это факт!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]