KILIMANJARO- RUGENGA FEAT CHRICHA, LULU &ICE P
Автор: Rugengamusic
Загружено: 2023-12-09
Просмотров: 862
Описание:
Huu wimbo KILIMANJARO @mount kilimanjaro national park Umefanywa na msanii kutoka Tanzania #Tanzania anaitwa Rugenga @rugengamusic akiwashirikisha wasanii wenzake ambao pia ni Askari wenzake kutoka Jeshi la Uhifadhi(TANAPA)@Chricha @Lulu Mwaveyah ICE P @CR Kilimba .
Wimbo huu unaelezea uzuri wa Mlima Kilimanjaro ambao unapatikana kaskazini mwa Tanzania ,katika Mkoa wa Kilimanjaro @kilimanjaroregion na ndo Mlima mrefu kuliko yote Barani AFRIKA,ni mlima wenye vilele viwili ambavyo ni KIBO NA MAWENZI.
MLIMA KILIMANJARO UNA UREFU WA MITA5895/19341Ft.
kwenye hii Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro kuna patikana wanyamapori kama Tembo, Twiga ,Nyati ,Mbega na wanyana wengineo.
pia kuna aina za ndege 179.
Unaweza kuupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia njia zifuatazo Marangu,Mweka,Londorosi, Kilema, Machame, Rongai, Umbwe ,Kidia,Lemosho
WAGENI KARIBUNI TANZANIA 🇹🇿 HAKUNA.MATATA
@tanz @ITVTanzaniaTz @SafariChanel @tanzaniasafarichannel7820 @tbctaifadigital @CLOUDSMEDIA @franckietower5944 @wasaftv5509 @dplatnumz @zara @uhondotv5210 @wizarayamaliasili7464 @ikulutanzania255 @dktabbas @@adamchomvu @BDOZE @boblim @JohMakini @kenedytheremedy @jeshilauhifadhi @kiboguides3241 @usaidnepal
@zaratours9329
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: