TANZANIA (TANAPA)-Rugenga &chricha ft mass Viber
Автор: Rugengamusic
Загружено: 2020-05-06
Просмотров: 7890
Описание: Tanzania national parks :ni wimbo uliotungwa na askari wa hifadhi za taifa Tanzania (TANAPA)Ambao ni askari daraja la pili (CR 2)CPL CHRISTIAN CHARAJI , Kwa jina maarufu (chricha)na Askari daraja la tatu (CR3) PTE MESHACK RUGENGA,kwa jina Maarufu(RUGENGA) .Kwenye wimbo huu wamemshirikisha msanii kutoka babati maarufu kwa jina la MASS VIBER , video hii imeongozwa na director SAM G kutoka babati ,video hii imeandaliwa maeneo tofauti tofauti yaliyoko chini ya Hifadhi za taifa tanzania.shukran za dhati ziwafikie wote waliojitolea kwa hali na mali kuanzia menejimenti ya Hifadhi ya taifa tarangire viongoz mpaka wapiganaji (makamanda)wote
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: