JESHI LA CONGO LIKIPAMBANA NA WAASI LIVE
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2021-01-15
Просмотров: 14624
Описание: Jeshi la jamhuri ya kidemokrasia ya Congo limefanikiwa kuzima shambulizi la kundi la waasi la allied democratic forces ADF, kufuatia operesheni iliyofanyika katika wilaya ya Beni, eneo la Rwenzori. Watoto na wanawake kadhaa wameokolewa, anavyoripoti mwandishi wetu Austere Malivika.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: