NJIA RAHISI ZA KUJENGA VYANZO VINGI VYA MAPATO KWA HARAKA | CFE. Victor Mwambene.
Автор: Victor Mwambene
Загружено: 2025-05-17
Просмотров: 32501
Описание:
🎯 NJIA RAHISI ZA KUJENGA VYANZO VINGI VYA MAPATO 💰.
.
Katika dunia ya leo yenye mabadiliko ya kiuchumi na ajira zisizo na uhakika, kuwa na chanzo kimoja cha kipato ni hatari. Ndiyo maana nimeandaa somo hili mahsusi kwa ajili yako!
Katika video hii ya kipekee, utajifunza kwa lugha rahisi na mifano halisi namna ya kuanza safari ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha kwa kuwa na vyanzo vingi vya mapato.
🔍 Miongoni mwa mambo utakayojifunza ni:
.
✅ Aina kuu 7 za vyanzo vya mapato.
✅ Tofauti kati ya active income na passive income.
✅ Mbinu 5 rahisi za kujenga vyanzo vingi vya mapato hata kama huna mtaji mkubwa
✅ Sababu kubwa 3 kwanini watu wengi hawana vyanzo vya ziada — na jinsi ya kuviepuka
✅ Mifano ya vyanzo halisi vya mapato kwa vijana, waajiriwa, na wajasiriamali.
✅ Siri ya kugeuza kipaji au ujuzi kuwa chanzo cha pesa.
✅ Makosa ya kawaida ya kifedha yanayowazuia watu kuanzisha chanzo kipya cha mapato.
🎓 Hii ni elimu ya maisha ambayo haifundishwi shuleni — lakini inaweza kukuandaa kuwa huru kifedha.
👉 Tazama mpaka mwisho ili upate mbinu utakazoweza kuanza nazo mara moja!
🔔 Subscribe kwa masomo zaidi ya fedha, ujasiriamali na mafanikio kila wiki!.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
KUPATA VITABU PIGA - 0766836764.
1. AKILI YA FEDHA.
.
2. KANUNI 20 ZA FEDHA.
.
3. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
.
4. NGUVU YA KUJUA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: